KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Saturday, February 05, 2011

khangazzz!!!





wapendanao ni sisi hebu tupeni nafasi



palipo na upendo Mungu yupo



mama nibariki Mungu anizidishie




nitaishi nae kwa tabu na raha



namshukuru Mungu kwa hili



naishi niwezavyo siishi mtakavyo


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nimeipenda hiyo kanga isemayo Namshukuru mungu kwa hili.

Rachel Siwa said...

kanga bomba sana mimi napenda sana kanga hasa hizo za mama nibariki Mungu anizidishie zimenibamba sana na hizo rangi wangu!!!!yani zinanivutia sanasana!!
Ahsante kwa kukonga nyoyo zetu sisi Waswahili!!!!!!!!!.