Saturday, February 05, 2011

khangazzz!!!

wapendanao ni sisi hebu tupeni nafasipalipo na upendo Mungu yupomama nibariki Mungu anizidishie
nitaishi nae kwa tabu na rahanamshukuru Mungu kwa hilinaishi niwezavyo siishi mtakavyo


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nimeipenda hiyo kanga isemayo Namshukuru mungu kwa hili.

Swahili na Waswahili said...

kanga bomba sana mimi napenda sana kanga hasa hizo za mama nibariki Mungu anizidishie zimenibamba sana na hizo rangi wangu!!!!yani zinanivutia sanasana!!
Ahsante kwa kukonga nyoyo zetu sisi Waswahili!!!!!!!!!.