Wednesday, June 09, 2010

TANZANITE SOCIETY JP

Kikao cha Viongozi na Wajumbe wa Kamati

Ndugu Viongozi na Wajumbe wa Kamati za Jumuiya.

Napenda kuwatangazia taarifa ya kikao cha viongozi na wajumbe wa kamati.

Siku: 27/6/2010 (Jumapili)
Ukumbi: Funabashi Chuo Koumin Kan (中央公民館), Chiba (7 minutes on foot from JR FUNABASHI St 5 minutes on foot from Keisei-Funabashi Station)
Muda: 12:00 Jioni mpaka 3:00 Usiku

Agenda:
1. Kujadili taarifa ya mapato na matumizi itakayopelekwa kwenye mkutano wa wanachama utakaofanyika tarehe 11/7/2010
2. Kuandaa na kujadili agenda za mkutano wa wanachana wote wa tarehe 11/7/2010
3. Kujadili kuhusu uchaguzi mkuu wa viongozi na ukabidhiji wa madaraka kwa uongozi mpya utakaoingia madarakani baada ya uchaguzi
4. Mengineyo

Kwa taarifa zaidi ya jinsi ya kufika kwenye ukumbi tafadhali asiliana na Bw. Bagilo Jumbe.

Tafadhali mnaombwa kuzingatia muda.

Ahsanteni

Ally Simba,
Mwenyekiti, Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani

No comments: