Radhi ya Mama kuipata ni salama

halina majuto pendo la mzazi
hakuna mlezi kama mama
ahsante ma kwa alezi

ahsante mama kwa malezi

sitasahau hisani na huruma za wazazi


Mama nipe Radhi kuishi na watu kazi
Mama ni Malkia wa Amani

mama hamsahau mwanae


baraka zitasimama tukimsahau mama
ahsante mama kwa kuzaa kitu chema
ahsante kwa wako
shukurani za wazazi hazina mwisho
2 comments:
Dada M. kweli hakuna kama mama. Ahsante kwa kumbukumbu hii. na nakuina umebadili picha yako ya profile yako umipendeza kweli na huo mtando wa njano!!
Yasinta huo mtandio ni khanga ya njano ina ujumbe wa kumuenzi baba wa Taifa
Post a Comment