Thursday, May 06, 2010

Golden Week - Kitaani
2 comments:

Bennet said...

Huyo binti picha ya tatu anacheza nini au KIDUKU maana siku hizi kipo kwenye chati sana

mumyhery said...

Bennet huyo bint ni wa kuotaka Ghana ntajaribu kumuuliza ngoma jina la ngoma alokuwa anacheza kwani mwimbo ulikuwa unapigwa wakati huo ni wa merengwe toka Peru ilikuwa ni kuchezesha miguu na nyonga