Saturday, May 08, 2010

Happy Mother's Day
ya mzaa chemamiji keki ya kumwaga

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kumbe huko mnawahi hapa ni 31/5. Hongera akina mama wote nami ni mojawapo!!

Fadhy Mtanga said...

Heshima yako mama mkwe.

Nami nimepita kukutakia kheri ya siku ya kina mama.

Mbarikiwe daima maana twajivunia uwepo wenu.

mumyhery said...

Shukran Mkwe naona unajitahidi kuipunguza mahari kiaina hahahaha

Mashughuli said...

jamani mijicake hiyo untutamanisha sana, nimefurahi kuona picha ya muni