Friday, April 02, 2010

D1 GRAND PRIX SERIES

Mashidano ya Magari Odaiba Tokyo


na watoto walikuwa na sehemu yao ya mashindanohaya tayari!!!, wameisha kwaruzana, sehemu hii mimi huwa siipendi kukaa lakini wenyewe ndio sehemu wanayo ipenda yaani ni sehemu ya kwanza kujaa pia ni bei ghali, sijui kwanini wanapenda sehemu hii na ndio sehemu gari inapokatia kona Lol!!!


nyuma ya screen gari la wagonjwa lasubiri


ilikuwa baridi lakini na watu wabishi!!!
mamodo kama kawa
team orange safari hii mwanadada pia alikuwepo
6 comments:

Candy1 said...

mmmh...kama ilikuwa baridi hao mamodo na hivyo viguo inakuwaje? au haikuwa baridi kihivyo?

mumyhery said...

Candy hapo ndipo nnapo washangaa watu, labada naweza sema kazi kazini!!!

Koero Mkundi said...

LOVE YOU MUMMY HERY......

mumyhery said...

Aishteru Koero

PASSION4FASHION.TZ said...

Mumyhery wewe ni term orange nini?

mumyhery said...

Passion kama ulijua nnavyo ipenda timu orange!!!! ila wanapoanza machachari yao huwa naogopa nakaa mbali sana saa nyingine nafumba macho sitaki kushuhudia kitakacho tokea nikufumbua nakuta ni shwari kabisa ila tu nimepitwa ha ha ha ha ha