haya tayari!!!, wameisha kwaruzana, sehemu hii mimi huwa siipendi kukaa lakini wenyewe ndio sehemu wanayo ipenda yaani ni sehemu ya kwanza kujaa pia ni bei ghali, sijui kwanini wanapenda sehemu hii na ndio sehemu gari inapokatia kona Lol!!!
Passion kama ulijua nnavyo ipenda timu orange!!!! ila wanapoanza machachari yao huwa naogopa nakaa mbali sana saa nyingine nafumba macho sitaki kushuhudia kitakacho tokea nikufumbua nakuta ni shwari kabisa ila tu nimepitwa ha ha ha ha ha
6 comments:
mmmh...kama ilikuwa baridi hao mamodo na hivyo viguo inakuwaje? au haikuwa baridi kihivyo?
Candy hapo ndipo nnapo washangaa watu, labada naweza sema kazi kazini!!!
LOVE YOU MUMMY HERY......
Aishteru Koero
Mumyhery wewe ni term orange nini?

Post a Comment