KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Sunday, March 28, 2010

Wilna International



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea vifaa maalumu 10 vyenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kutoka kwa, Mkurugenzi wa Wilna Internationl, Bw Willy Mgoya vyenye uwezo wa kumgundua mtu aliyekunywa pombe katika mkutano kati yake na watanzania waishio Japan uliofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 26, 2010. Vifaa hivyo vimetolewa kwa Waziri Mkuu ili avikabidhi kwa Jeshi la Polisi nchini ili livitumie kuwabaini madereva wanaoendesha magari wakiwa wamelewa. Kutembelea Wilna international bofya hapa

4 comments:

John Mwaipopo said...

alivimudu vyakula vya kijapani au mlimuandalia vya kitanzania.

hivi chakula kikuu japan ni nini?

mumyhery said...

Mwaipopo usiwe na wasi hotel ya kimataifa ina vyakula vya kimataifa. unauliza chakula tu huulizi kama ailiingia ufuro, ufuro ni kama public naked swimming pool, siku moja ntawahadithia mara yangu ya kwanza kuingia ufuro hahaha!!!!

chakula kikuu cha kijapani sikijui ila naweza nikasema ni sashimi, sushi, nato, unigiri, lame, udon, yaksoba, nabe, shabu shabu, takoyaki, ukonomiyaki, yakiniku, wali hivyo ni baadhi.

Anonymous said...

Asante kwa newsssssss



disminder.

Anonymous said...

hello... hapi blogging... have a nice day! just visiting here....