Saturday, March 27, 2010

Waziri Pinda amaliza ziara Japan
Waziri Mkuu wa Japani Yukio Hatoyama akimkaribisha Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda Ofisini kwake tayari kufanya mazungumzo rasmi.(Life network) Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda amemaliza ziara ya siku tatu nchini Japani ambapo Pamoja na mambo mengine alikutana na Waziri Mkuu wa JP, Yukio Hatoyama na Waziri wa mambo ya nje Katsuya Okada na kujadiliana nao masuala mbalimbali ya ushirikiano katika sekta za Miundo mbinu na Kilimo.Katika upande wa miundombinu Viongozi hao wametia saini mkataba wa mkopo ambapo Japani itaipatia Tanzania Yeni Billioni 7 kuimarisha mtandao wa miundombinu ya nyumbani

No comments: