Saturday, March 20, 2010

Khanga hizo!!!

mwamake hulkaMsema kweli mpenzi wa Mungu


Mungu ni Mwema


mtaishia hamu mimi na yeye damu damu


upendo ni tunda la rohowachemshe hao hao kwangu mtapoa

wapendanao ni sisi hebu tupeni nafasitabia haina dawa
sijali lawama naomba salama


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jamani kanga nzuri hiz na rangi pia bomba kweli!!

shamim a.k.a Zeze said...

mummy hiyo kanga ya

wapendanao ni sisi hebu tupeni nafasi

naitakaa nilipuke na kamshono yangu...imekaa vyema mnoo