Friday, February 12, 2010

Khanga Za Leo

Mpewa Kapewa Aliyepewa Hapokonyeki


Hazina ya Nyumba ni upendoNyumba hujengwa na Upendo
Riziki ya Mtu hupangwa na MunguUkinichukia wewe ntampata mwengine

6 comments:

John Mwaipopo said...

kanga zina ujumbe anuani. ujumbe uandikwao khangani mara kadhaa huleta na hushamilisha magomvi baina ya mvaaji na mdhamiriwa, au?

Fadhy Mtanga said...

heshima yako mamamkwe. nimepita hapa kukusabahi na kukutakia heri ya siku ya wapendanao.

PASSION4FASHION.TZ said...

Happy Valentine na kwako pia,khanga zote nzuri sana na zinaujumbe mzuri,nimezipenda kweli,mambo si hayo fikisha ujumbe kwa khanga badala ya card.Imetulia hiyo.Kazi nzuri nakufagilia dada.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

sitokaa nikuchukie wala nini labda kama una mpango wa kumpata mwingine ni kivyako vyako tu

mumyhery said...

Mwaipopo, iwapo msg isemayo Nyumba hujengwa na upendo au Hazina ya nyumba ni upendo inashamirisha ugomvi, basi wewe una asili ya ugonmvi.

Fadhy Shukran sana, nawe vuta subira kwani mambo mazuri hayataki haraka si unaona Kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa hatokaa achukie!!!

Mama Passion si unajua tena biashara matangazo!!!

Yasinta Ngonyani said...

"Riziki ya Mtu hupangwa na Mungu."
Maandishi haya nimeyapenda sana