Sunday, November 01, 2009

WAVUTI.COMDa Subi anapenda kuwataarifu wasomaji kuwa tovuti ya mpya ya WAVUTI.COM imechukua nafasi ya iliyokuwa NUKTA77.COM na nukta77.blogspot.com Naomba yeyote aliyekuwa ameweka linki ya nukta77 aihariri na kuweka wavuti.com

Karibuni sana kutembelea kwa taarifa za nafasi za masomo na kazi kwa burudani na bila kusahau habari na porojo!Asanteni.wavuti.com

No comments: