Friday, September 04, 2009

Mazoezi ya Ngoma

5 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Na hii ilikuwa ngoma gani? Nani alikuwa anafunzwa hapa. Wewe wafunzwa ya Kijapani ama wao wanafunzwa ya kikwetu?
Hahahahahaaaaaaaaaa
Vyovyote iwavyo. Inaonesha mnafurahia. Hongera

Yasinta Ngonyani said...

Naona hapo ulikuwa katika kucheza ngoma au sijui ni mazoezi:-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

duh picha nyingine bwana

chib said...

Ha ha haaa, safi sana kuita ngoma ya mazoezi. Maana ukiwaona ndugu zetu wangoni wanapocheza ngoma, basi sijui utaita ni vita au mazoezi, ha ha haaaa

PASSION4FASHION.TZ said...

wow shost kumbe na sebene unaliweza? safi sana endelea kutuwakilisha!!!!