KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Wednesday, September 02, 2009

Chama Cha Upinzani Chapata Ushindi Wa Kishindo

Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party-Japan kilicho pata ushindi wa kishindo YUKIO HATOYAMA




Chama kikubwa cha Upinzani nchini Japani cha DEMOCRATIC kimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Baraza la chini la Bunge, uchaguzi uliofanyika jana Jumapili. Baraza hilo ndilo linalomchagua Waziri mkuu wa JAPANI. Ushindi huu umekiondoa madarakani chama cha LIBERAL DEMOCRATIC cha waziri Mkuu TARO ASO kilichokaa madarakani mwa miaka 54 mfululizo. DEMOCRATIC Kimekusanya viti 308 kati ya 480 na bila shaka sasa Raisi wa chama Yukio Hatoyama hapo chini, katikati anayeonekana vyema…anakuwa Waziri Mkuu. TARO ASO amekaa madarakani kipindi kifupi sana chini ya mwaka mmoja.




TARO ASO


1 comment:

Simon Kitururu said...

Nawasiwasi Tanzania bado CCM itang'ang'ania kwa miaka kibao kwanza. Tanzania bado naamini upinzani haujafikia nguvu ya kuitoa CCM kama ilivyofanyika Japan:-(