modo mwenza wa tz akipita mara ya pili
ana peperusha bendera ya malawi
ngoma
waliokaa mbele mabalozi wa Africa Japan
mamodo wa kesho nao walikuwepo
modo wa Lesotho mke wa balozi
washiriki
mambo ya darfur
kijana wa Rwanda
modo wa Nigeria mke wa balozi na kijana wake
dada na wadogo zake
3 comments:
Hapo nahisi ni mimi tu nilikosekana!:-)
Simon sio wewe tu umenisahau mimi pia:-) dada mariam Kazi imefanyika safi sana nimezipenda sana picha yaani hiyo mivao sijui nisema Afrika hojeee au Japan Hojeeee
Simon, Yasinta kwa kweli uhondo mmekosa, bado ntawaletea picha nyingine baadae kidogo, kwani muda wa kukaa kwenye pc hautoshi
Post a Comment