Japan wakutana na Mlezi
Balozi Mtango...
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania hapa Japani walipoenda kumtembelea mlezi wa Jumuiya Balozi wa Tanzania nchini Japan Mh Balozi Mtango(wa kwanza kulia aliyekaa kwenye kochi)siku ya Jumamosti 16 Agosti kwa mudhumuni ya kujitambulisha rasmi na kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusiana na mustakabali wa Jumuiya.
No comments:
Post a Comment