Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndio balaa, wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejaa utapeli tamaa, nimpende nani. Yasiwe kama ya Wema Sepetu kila siku magazeti, hajui nidhamu na mila ya kwetu mjuzi kupeti peti, Usimtake Kawoya ni mtemi ana hasira, mpole kama Jokate...Ila sauti kama Wema akiwa analia kicheko kama cha Fetty"
1 comment:
shughuli ipo mweehh!!
Post a Comment