Simon, Yasinta hii post nimetumiwa na wadau wa khanga hasa kwa vile namie ni mdau wa mambo ya khanga ili niwawekee tangazo la onesho na bado halijafanyika na linatarajiwa kufanyika mwezi ujao 1st october, shukran kwa kunipitia pamoja na adimiko langu si mnajua tena mchaka mchaka wa kipindi hiki!!!
Oh, khanga ni moja ya tamaduni za bongo, idumisheni hii iwe moja ya viwakilishi vya utamaduni wa `Waswahili'. Kwa mfano maneno yanayoandikwa kwenye hizi khanga ziwe na ujumbe murua wa kuwavuta wageni!
4 comments:
Tupestori tuliombali basi, usiku ulikuaje?:-(
Dada M huo usiku wa kanga za kale ulikuaje? hakika mengi yanatukosa...
Simon, Yasinta hii post nimetumiwa na wadau wa khanga hasa kwa vile namie ni mdau wa mambo ya khanga ili niwawekee tangazo la onesho na bado halijafanyika na linatarajiwa kufanyika mwezi ujao 1st october, shukran kwa kunipitia pamoja na adimiko langu si mnajua tena mchaka mchaka wa kipindi hiki!!!
Oh, khanga ni moja ya tamaduni za bongo, idumisheni hii iwe moja ya viwakilishi vya utamaduni wa `Waswahili'.
Kwa mfano maneno yanayoandikwa kwenye hizi khanga ziwe na ujumbe murua wa kuwavuta wageni!
Post a Comment