

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania Japani, Bw. Julius Mwombeki Jnr akiwa na Bi. Mariam Yazawa wakimsubiri Balozi awasili hotelini kwake

Afisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania hapa Japani Bw. Elibariki Maleko akimkaribisha mama Balozi alipowasili hotelini kwake jana usiku

Bi. Mariam Yazawa akiwa amejiandaa kumpa shada la maua Balozi Sijaona kama zawadi ya kumkaribisha nchini Japani
Balozi mpya wa Tanzania nchini Japani, mama Salome Sijaona (kati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Tanzanite Bw. Julius Mwombeki Jnr (kulia) akipowasili nchini Japani jana Jumatatu




No comments:
Post a Comment