
Mhe Musongo akielezea machache kuhusu kiswahili kabla ya mashindano kuanza







kuduarika
mduara






Mr Msulwa Nhk JP na Mhe Musongo Tz Embassy


Mhe Balozi Mwenda wa Congo, Mariam na Mhe Musongo wa Tanzania Embassy

mkuu wa majaji Mr Msulwa akielezea vigezo vilivyo tumika kumpata mshindi
katikati mwalimu wa kiswahili chuo cha Soka
mshindi akipokea zawadi iliyotolewa kwa pamoja toka Tanzania na Kenya Embassy ikitolewa na wawakilishi toka kenya na Tanzania Embassy

mwakilishi toka Nhk Swahili JP Bakari Msulwa akimpatia mshindi wa kwanza zawadi ya kombe
Balozi wa Congo Mhe Mwenda akitoa zawadi kwa mshindi wa pili
mwakilishi toka ubalozi wa Kenya akitoa zawadi kwa mshindi wa tatu
burudani

waliokuwa washehereshaji wetu

na mamodo wangu

na wajumbe toka Waseda University Tokyo


washindani wakisubiri matokeo
majaji




3 comments:
Kiswahili kiko juu, sasa ni muda wa kuwafundisha na jirani zetu ili nao waongee kiswahili fasaa
Mammy Hery Uko juu
"Ganda la muwa la jana,nondo kaona mavuno."Wakati hapa Tanzania uwekezaji katika maendeleo ya lugha ya Kiswahili unakosa wadau mahiri na makini huko Japani mambo yanazidi kunoga.HONGERENI SANA WASHINDI WETU NA KARIBUNI SANA TANZANIA KWENYE NYUMBA YA LUGHA YA KISWAHILI.
------------------------------
R.Njau
Mdau na mtetezi wa Lugha ya Kiswahili nchini Tanzania.
-------------------------------
Post a Comment