
Bob Zube

wanafuzi wakitoa burudani




samurai

fashion show



vibinti ya kibrazil vikonyesha mavazi ya kwao ya asili, pia wlikuwepo vijana wa kiume wa kibrazil katika fashion show wao walikuja wamevaa jezi za brazil na mpira wao wakacheza kidogo kuonyesha kwa brazil kwa mpira sio mchezo

wajapani wakionyesha mavazi yao ya asili

singapore wakionyesha mavazi ya kwao

wanafunzi


mabinti ya kirussia wakiuza vyakula na mapambo toka russia


waphilipino na ngoma ya asili

wanafunzi wa wakicheza ngoma

watoto wa kibolivia wakionyesha ngoma ya kwao
2 comments:
Ahsante kwa taswira hii. Hiyo T-shirt ya kiTanzania nimeipenda au niseme nimeitamani. Ntaitafuta tu
Dada. Wewe ni zaidi ya Balozi wa Tanzania huko. Si tu kuityangaza Tanzania, bali kuiwezesha kuonesha ufanisi katika yale mema itendayo.
Nafurahia mengi toka kwako.
Blessings
Post a Comment