mashati yalipata mtihani kidogo, Wajapani walitaka size ndogo na Wamarekani wao walikuwa wanataka size kubwa zaidi, nami nilileta size za kibongo si makubwa sana wala si madogo sana, mwisho wa yote ilibidi wanunue khanga ambazo hazijashonwa na hapo hapo wakazipa jina la Scarf, kaazi kweli kweli
Unatuonesha njia ya UJASIRIAMALI kwa kuufanya na kuudhihirisha kwetu. NAOMBA UAMINI KUWA HUFANYI KAZI YA BURE HAPA bali UNATUELIMISHA SAANA NA KUNA TUFUATAO NYAYO ZAKO. Siku zitadhihirisha haya ASANTE SAAANA
1 comment:
Unatuonesha njia ya UJASIRIAMALI kwa kuufanya na kuudhihirisha kwetu. NAOMBA UAMINI KUWA HUFANYI KAZI YA BURE HAPA bali UNATUELIMISHA SAANA NA KUNA TUFUATAO NYAYO ZAKO.
Siku zitadhihirisha haya
ASANTE SAAANA
Post a Comment