KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Monday, July 13, 2009

Khanga na Ujumbe

Elimu haina mwisho
教育に終わりはない


Raha ya dunia ni kupendana.
この世の幸せは愛し合うこと


Ujana ni moshi ukendahaurudi
若さは煙のごとし。立ち上ったら二度と立ち返ることはない



Ukipenda waridi uvumille miiba.
バラの花を愛するならトゲを我慢して
 


4 comments:

Subi Nukta said...

Khanga ya mwisho imepoa kwa rangi zake, nimeipenda sana! Kisha ile ya juu kabisa, ya mwanzo.

mumyhery said...

Subi mdogo wangu we mkali sana nini?
maana yake hiyo khanga ya mwisho msg yake!!!

Subi Nukta said...

hapo hapo! Ujumbe mahsusi na usiona longo longo. Si kupenda rangi ya waridi mara harufu yake nzuri lakini kujidai miiba inachoma? ebo, kubali yote na jifunze kukwepa na kuishi na miiba.
Asante sana Sister!

PASSION4FASHION.TZ said...

Hata mimi nakubaliana na da Subi khanga nzuri sana hizi na maneno yake pia.