Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uswisi Dk B. S. Nyenzi (kushoto) na mgeni wake Mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania wanaoishi Japani Dk A. Y. Simba walipokutana katika Mgahawa wa La Lomana mjini Geneva kwa mazungumzo juu ya Jumuiya zao na masuala mbalimbali, kuhusu mazungumzo hayo kongoli hapa
No comments:
Post a Comment