Najua nawe ni Mama, na najua unastahili pongezi kwa kuwa Mama Lakini pia unastahili pongezi kwa kuwakumbuka kinaMama. Ama kweli Mama kuwajali kinaMama inapendeza. Happy Mother's Day
Bennet kanga hizi unaweza kupata kisutu kwenye maduka ya junmla, au kwa mikoani unaweza kupata sokoni, kila soko la Tanzania kanga hazikosekani labda tu unaweza usipate aina kama hizi lakini waweza pata aina nyingine lakini ikawa na maneno yoyote ya wasifu wa Mama
4 comments:
Ni kweli kabisa hakuna kama mama duniani hapa
Natamani nichukue moja kisha nikampe Mama yangu, lakini haiwezekani basi nitazipata wapi kwa sisi tuliopo mother land Tanzania
Najua nawe ni Mama, na najua unastahili pongezi kwa kuwa Mama Lakini pia unastahili pongezi kwa kuwakumbuka kinaMama. Ama kweli Mama kuwajali kinaMama inapendeza.
Happy Mother's Day

Post a Comment