Wow dada! hayo mavazi mwenzako nimeyatamani kweli kazi nzuri sana. Kusema kweli hayo ndio mavazi yangu, nina maana maguuni marefu ya heshima na mishono mizuri umeshona huko au Tz kwani Mmh bomba kweli.
Kweli mavazi ni mazuri sanaaaa yanamvuto ila kwenye picha ya kwanza naona kama uyo dada angepiga akiwa amesimama ndo ingependeza zaidi na pia km unataka kucheck hilo vazi linakuwaje ukiwa umesimama inakuwa rahisi. Hayo ndio maoni yangu samahani kma nitakuwa nimekukwaza. Ila mavazi ni mazuriiiiiiiiiii
4 comments:

Oh la laaaa! Ya heshima haya. Utamaduni hoiyeeeeee!
Vitenge ni mavazi mazuri na kusema kweli umeyatendea haki

Post a Comment