KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Sunday, March 15, 2009

MKUTANO WA JUMUIYA

MKUTANO WA JUMUIYA YA TANZANITE KANTO JP

Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa niaba ya Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Japan (TANZANITE SOCIETY) Uongozi wa Jumuiya unapenda kuchukua nafasi hii kuwatanganzia watanzania wote wanaoishi Japan hususani maeneo ya Kanagawa, Tokyo, Chiba na maeneo jirani kuwa kutakuwa na mkutano wa wanachama wote utakaofanyika :Tarehe : 29/03/2009Siku : JumapiliMahali : Ukumbi wa Odakyu Sagamihara.Muda : Saa Kumi na mbili jioni. (12:00)Pamoja na mambo mengine,

Ajenda za mkutano huu ni kama ifuatavyo:
1. Kutoa taarifa ya mapato na matumizi ya Jumuiya
2. Kujadili ulipaji wa ada za kila mwezi kwa wanachama
3. Kujadili suala la usajili wa Jumuiya
4. Mengineyo

Uongozi utashukuru kama tutaweza kuhudhuria kwa wingi.Wananchi wanaombwa kuzingatia muda wafike kabla ya saa 11 na dakila 45 jioni.Mkutano utaanza saa 12 kamili.Natanguliza shukrani

Katibu Mkuu Msaidizi wa Jumuiya.
Abby Senkoro.

No comments: