KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Tuesday, August 05, 2008

Obon Yasumi Party

Hello Wanataja , Napenda kuwafahamisha kuwa kutakuwa na sherehe ndogo wakati wa OBON yasumi ili kufahamiana na wageni pia kujuliana hali baada ya kazi hapa Osaka . Wapi .. HARD ROCK cafe , HOMMACHI Muda saa nane mchana na kuendelea lini tarehe 16th August, Sat or 17 th August ,Sun ( wengi wape ...) watakaokuwa na mapendekezo tofauti na hapo juu wasisite kutoa hoja/ mapendekezo yao ili nao waweze kujumuika nasi . Ningependa kupata orodha ya watakaoweza kujumuika ili niweze kufanya booking mapema .Watz walio maeneo ya jirani mnakaribishwa sana Wasalaam Mark , Osaka

No comments: