KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Monday, July 21, 2008

Rais wa watu




Marais wengi hupenda kupigwa picha zisizoonyesha hali halisi ya nchi zao.
Namsifu huyu mkubwa kwa kukubali kupigwa picha katika mazingara haya.
Pakiwa na photo contest mahali nitaipeleka hii picha kwani naamini yaweza kuzoa ushindi.
SAMURAI.__

1 comment:

Anonymous said...

Kama ulivyoandika ni kweli ni rahisi wa watu!