Nafasi ya kazi haraka
Wana Tija,
Rafiki yangu anatafuta mwanamke wa kiafrika anayejuwa
kupika chakula kizuri cha kiafrika vinginevyo ili
afanye kazi ya upishi kwenye bar yake iliyopo
Ikebukuro karibu sana na Ikebukuri station.
Mwenye sifa anipigie simu 080-5487-5634 au anitumie
email fresh@freshjumbe. com
Fresh.
http://freshjumbe. com
No comments:
Post a Comment