KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Monday, May 19, 2008

african festa 08

baada ya kazi
viti pia vilipambwa khanga


kidume na maiwaifu wake

khanga za kukodishwa zilikuwepo hapawatani wa jadi nao hawakubaki nyuma na khanga


na sisi wanaume je?, usijali kwa kuwa bibi tumemfunga kibwebwe wewe chako kilemba

tunapenda vazi la khanga
kama zionekanavyo
japo upande lakini khanga ipo

mabanda nayo hali kadhalika

hata meza za biashara zilipambwa khanga

zoezi lilikuwa kubwa kidogo karibu kila mmoja alitaka kujifunga khanga
handbag za khanga

(kore wa imi wa nan desuka?) hii ina maana gani?

(ii msg sagashite kudasai) nichagulie yenye ujumbe mzuriNo comments: