Saturday, July 18, 2015

ZAHRA MICHUZI KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM (VIJANA) TABORA


Zahra Muhidin Michuzi  akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM mkoani Tabora ili kuchukuwa form ya kugombea ubunge viti maalum kwa vijana.
Binti huyo wa Michuzi baada ya kuhutimu elimu yake ya shahada ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikia wananchi wa nymbani kwake Mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi


Zahara Michuzi (kushoto ) na Bi Mwasham Hashim (Kulia) karani wa UVCCM Tabora akitoa maelekezo ya uchukuaji wa form hizo

Zahara Michuzi akikabidhiwa form yake katika ofisi za UVCCM mkoani TaboraNo comments: