Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanazidi kudatisha ughaibuni !
Katika onyesho lao ndani ya hekalu la Uebersee Museum mjini Bremen,ujerumani usiku wa jumamosi 30 Mei 2015 bendi imeonyesha kwa kiasi kikubwa kuwa inakubalika katika hadi katika mahekalu ya kutisha,Kikosi kazi hiko maarufu kwa muziki wa dansi barani ulaya
wa muziki wenye mvuto wa ajabu na mdundo wao wa "Bongo Dansi".
No comments:
Post a Comment