KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Monday, April 06, 2015

RADIO DW-BONN YAMUHOJI KAMANDA RAS MAKUNJA,AZUNGUMUZIA MAFANIKIO NA CHANGA MOTO ZA MUZIKI WA KIAFRIKA BARANI ULAYA






Bonn,
Asubuhi na mapema tu Radio Deutch Welle Idhaa ya Kiswahili inayorusha matangazo yake mjini
Bonn,ujerumani, alimwamkia mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja kiongozi wa 

bendi maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni.katika mahojiano
na mtangazaji mahiri Bi.Swaumu Mwasimba wa radio DW na kipindi cha muziki na utamaduniKamanda Ras Makunja anazungumzia mafanikio na changamoto za muziki wa kiafrika barani ulaya.pia amezungumizia jinsi muziki wa kiswahili unavyokubalika barani ulaya.usikose ksikiliza mahojiano hayo katika tuvoti za radio DW-Kiswahili









No comments: