Saturday, February 28, 2015

MAMA SALMA KIKWETE AKIKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITAL KUU YA LUGALO

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Mwenyekiti wa WAMA akikabidhi Mashine ya Kupimia Saratani ya matiti kwa kina mama kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinizi la Wananchi Luteni Jeneral Samuel Ndomba (kulia)  Hafla ya makabidhiano yamakabidhiano hayo ilifanyika kwenye hospital kuu ya Jeshi la Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27-02-2015 

No comments: