Tuesday, December 30, 2014

DULLY SYKES MIAKA 15 YA BONGO FLAVA


NAOMBA SUPPORT YENU WATANZANIA NI SIKU YANGU KUBWA KATIKA MAISHA YANGU YA HUU MUZIKI NILIOUHANGAIKIA KWA MIAKA MINGI. TAREHE 30 NITAKUA NAFIKISHA MIAKA 15 TANGU NIANZISHE MZIKI WA KUIMBA NA KUGHANI KUPITIA BEAT ZA HIPHOP (BONGOFLAVA) SASA NAOMBA MSIKOSE KUJA KUUNGANA NA MKONGWE WENU PALE ESCAPE1.

No comments: