Tuesday, July 01, 2014

Tanzanite Society JpTaarifa ya Kisomo kuhusiana na msiba wa mtoto wa Bwana Rashid Omari Njenga(Mwenyekiti Msaafu wa jumuiya ya Watanzania japan).Bwana Rashid Omari Njenga amefiwa na mtoto wake wa kwanza  Mariam Rashid Njenga, aliefariki tarehe 22 june na kuzikwa tarehe 24 june 2014 mtoni kijichi.


Kutakua na kisomo cha kumuombea marehemu siku ya jumapili ya tarehe 6 july saa nane mchana (2;00 pm).


Kisomo kitafanyika Odakyu Sagamihara ktk nyumba ya Bwana Mwidi.Anuani kamili ni Zama,Sagamihara.1 chome 27-10-101.Shanboru,Sagamihara-101.Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na Bagilo Jumbe simu  namba 090 17337447.Abuu Omari simu namba 08043681965.Ally Kanagawa simu namba 080 5075 7879


Tunakuombeni watanzania wote tujumuike pamoja ktk kisomo cha kumuombea binti yetu.


Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali 


AMEEN

JUMBE BAGILO 


__,_._,___

No comments: