Friday, June 21, 2013

Hodogaya International Exchange Center

 
Leo tunajifunza kupika Pilau ya Kuku, Njegere za Nazi, Tambi za Sukari na Kachumbari
 

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

dada ugali pia ulikuwepo?..Nimetamani kama ningekuwepo nanyi:-)