Sunday, March 31, 2013

Taarifa ya Hitma


Ndugu wana Tanzanite (TIJA) na marafiki wote, Kwa niaba ya famillia ya Mzee Bawaziri Napenda kuwa taarifu kuwa kutakuwa na hitima ya Msiba wa Ndugu yetu Ahmed Bawazir aliyefariki12/12/12. Naomba tujumhike wote katika shughuli itakayo fanyika tarehe 7th April 2013 Sas 17:00 (Kumi na Moja Jioni JP Time) Kwenye Ukumbi wa RAC-AL Odasaga. Kufika kwenu ndio kufanikisha shughuli hi. Tunawashukun sane watanzania wote waliojitolee kwa hali na mali katika Msiba wa Ndugu yetu Ahned.

No comments: