Sunday, May 06, 2012

Pole Upendo

Watanzania waishio Japan walipo kutana kwenye kisomo cha kumuombea baba ya Upendo Marehemu Mzee Omary Mwimbage alie fariki Dar Es Salaam tarehe 23rd April Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi AMIN


Sheikh Shaaban akimfariji mfiwa dada Upendo


Bi Grace akimfariji mfiwa3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

pole sana da´Upendo. Na nawapeni hongera wote kwa ushirikiano wenu Mungu awabariki na awazidishie upendo.

Rachel siwa Isaac said...

Pole sana Ndugu yangu Upendo na Familia yote ya Mwimbage,Mungu awape uvumilivu na kuwatia nguvu katika wakati huu mgumu kwenu.Ulale kwa Amani mzee wetu MWIMBAGE!!.Pamoja daima.

Anonymous said...

ni nani anayepiga picha?vipicha viduchu,angalia blog ya mashughuli na nyingine picha zao.jitahidi kuweka picha nzuri