Monday, May 28, 2012

Kuna ubaya gani?

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hata mimi sioni ubaya kwasababu kila mtu ana ndoto zake. Inawezakana kabisa kama nisemavyo kila mara hakuna lisilowezekana!!

emu-three said...

Kama kweli anajua nini kilichoandikwa hapo,basi ndoto zake zinaweza kuwa kweli....unaambiwa omba uatapewa...!