Sunday, April 29, 2012

Taarifa ya Kisomo

DADA UPENDO RAMADHANI MWIMBAGE WA SAGAMIHARA AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MAREHEMU OMARY RAMADHANI MWIMBAGE.MAREHEMU MZEE OMARY RAMADHANI MWIMBAGE AMEFARIKI SIKU YA TAREHE 23 APRIL 2012 NYUMBANI KWAKE ILALA FLAT DAR ES SALAAM NA AMEZIKWA SIKU HIYO HIYO YA TAREHE 23 APRIL 2012.

KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA KUMPA POLE DADA UPENDO ZITAFANYIKA ODAKYU SAGAMIHARA NYUMBANI KWA MWIDIKILA PALE TULIPO FANYA SHUGHULI YA MWENYEKITI WIKI MBILI ZILIZOKWISHA.

TAREHE YA KISOMO NI SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 05 MAY 2012.KWA AMBAYE HAPAFAHAMU KWA MWIDIKILLA TAFADHALI WASILIANA NA WAFUATAO.

MWENYEKITI WA JUMUIYA BWANA NJENGA 080 3127 3518
KAIMU MWENYEKITI DR PROSPER NGUKU 090 2230 8435
MZAZI MAX O8O 4323 9841
PATRICK 080 3459 8002
GWAKISA MHOKA 3242 7442
DADA MARIAM 090 4422 8555
DADA MOZA 090 6708 5576
DADA UPENDO 080 1326 9700.

TUNAOMBA WATANZANIA WOTE TUJITOKEZE KWA WINGI KATIKA KISOMO PIA KUMPA POLE DADA YETU MPENDWA UPENDO OMARY RAMADHANI MWIMBAGE.

NOTE...KISOMO KITAANZA SAA NANE MCHANA NA SHUGHULI TUTAMALIZA SAA KUMI NA MBILI JIONI.

MWENYEKI MUNGU ILAZE PEMA PEPONI ROHO YA BABA YETU MPENDWA OMARY RAMADHANI MWIMBAGE.

No comments: