Tuesday, April 10, 2012

TAARIFA YA KISOMO SIKU YA JUMAPILI TAREHE 15/APRILI/2012NACHUKUA NAFASI HII KUWAARIFU KUWA KUTAKUWA NA KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU BABA MZAZI WA NDG ZETU KINA RASHID NJENGA NA ABBU OMAR. KISOMO HICHO AMBACHO KITAFUATIWA NA CHAKULA CHA MCHANA KITAFANYIKA SAGAMIHARA – NYUMBANI KWA MWIDI SAA SABA MCHANA (1:00 PM ) SIKU YA JUMAPILI TAREHE 15/APRILI/2012.


ANUANI KAMA IFUATAVYO:

1-27- 10 SAGAMIHARA, ZAMA-SHI, KANAGAWA, SHANBALL SAGAMIHARA 101.


KWA WALE AMBAO WATAHITAJI MAELEKEZO ZAIDI WATUPIGIE SIMU ZIFUATAZO.


NDG. PROSPER SUGAI KAIMU MWENYEKITI : SIMU: 090-2230-8435

NDG JUMBE BAGILO KAIMU MAKAMU MWENYEKITI SIMU: 090-1733-7447


WALE AMBAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WATASHINDWA KUUNGANA NA NGUDU ZETU HAWA SIKU HIYO NA WANGEPENDA KUTOA RAMBI-RAMBI ZAO KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU, TUNAWAOMBA WATOE RAMBIRAMBI ZAO KUPITIA AKAUNTI YA JUMUIYA KAMA IFUATAVYO.


Benki: Sumitomo Mitsui Banking Corporation

Tawi: Kunitachi: No. 666

Jina la Akaunti: Tanzanite Society; Msimamizi: Njenga, Rashid Omar

Account No. 7916169


TAARIFA IMETOLEWA NA

BAGILO JUMBE

KAIMU MAKAMU MWENYEKITI

KWA NIABA YA JUMUIYA YA WATANZANIA WANAOISHIO JAPAN


No comments: