Thursday, January 26, 2012

Sherehe ya watoto wote waliotimiza miaka 20

Hapo ndio wanathibitisha kwamba wamekuwa watu wazima hivyo SDV ruksa yaani Smoke, Drink and Vote, huwa ni siku ya holiday kitaifs siku ya mapumziko Japan
1 comment:

Swahili na Waswahili said...

Wamependeza sana, watu na tamaduni zao!!!!!!Uwe na wakati mwema dada.