Tuesday, November 22, 2011

Hiratsuka International Exchange Association

Utalii Shizuoka

unakula sashimi weye? (samaki wabichi)

tukapitia kwenye bustani ya ndege
tumekaa chini ni kiasili zaidi
nje ya hotel nikaikuta UDA EXP ikanikumbusha mbali sanna


No comments: