Saturday, September 03, 2011

Ngoma Africa Band kutumbuiza Steinhude,HannoverUjerumani jumamosi 3.09.2011
Gwaride la FFU bado linaendelea ! Jumamosi 3.09.2011


FFU wa Ngoma Africa Band kutingisha Jukwaa la Afrika Markt.Steinhude/Hannover,Ujerumani


Bendi Maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU,
wanatalajiwa kutumbuiza katika onyesho lingine kubwa la wazi mjini Steinhude am Meer,jirani na Hannover,nchini
Ujerumani siku ya jumamosi 3.09.2011 saa 12.00 jioni.
Maporomota wa muziki huko ughaibuni wamehamua kuifanyia kweli bendi hiyo maarufu kwa
kuipangia ratiba ya maonyesho bila kupumua !
Ras Makunja na kikosi kazi chake Ngoma Africa band aka FFU wamejikuta wapo katika
kibarua sugu cha kuwapa burudani kamili wapenzi wa muziki katika kila kona huko ughaibuni.
FFU kw sasa wanatamba na nyimbo mbili mpya "Bongo Tambarare " na "Supu ya Mawe"

No comments: