Sunday, September 11, 2011

Msiba Mzito Tanzania

meli ya spice iliyozama


Poleni sana Watanzania, poleni wafiwa, Mwenyeezi Mungu awape moyo wa subira wakati huu wa msiba mkubwa na alaze roho za Marehemu mahala Pema Peponi na awape ahuweni haraka majeruhi wetu, pia awape nguvu za kutosha kukabiliana na mshtuko walioupata

No comments: