Wednesday, August 24, 2011

Futari
ndizi ngonja/mzuzu/mshale/mkono wa tembo

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mmhh myamu myamu ..zinaonekamna tamu kweli maana hapa mimate inanidondoka mweh!
Yasinta

emu-three said...

Duuh, na mwezi wa baraka huo unaishia kama mchezo vile...madau madau ya Ramadhani...