Monday, August 29, 2011

Lailatul Eid Kareem
Kwa kumalizia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Napenda kuomba Radhi kwa wote nilio wakosea naomba samahani, na walio nikosea nimewasamehe, tusafishe mioyo yetu tusameheane

Kwa walio wajibika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani katika kufunga, kupika, kuuza, kununua, kugawa futari au kufuturisha au kwa njia nyingine yoyote napenda kuwaambia OTSUKARE SAMA DESHTA.No comments: